2 resultados para Konrad von Wizzenberg, d. 1203.
em Digital Peer Publishing
Resumo:
Mpendwa Amani, Nashukuru sana kwa maoni yako juu ya kitabu changu. Nakubaliana sana na wewe juu ya dhamira ya ubepari ndani ya muktadha wa mashindano ya urembo. Lakini sikutafiti mashindano yanayotokea bara -- utafiti huo ni wa Sabrina Billings (sitaki kuonekana kama nilifanya utafiti huo - nimesoma tasnifu yake ambayo ni nzuri sana). Billings amechapisha utafiti wake hivi karibuni katika Language in Society (2009).