Comment to the book review by Amani Lusekelo / Kommentar zur Rezension von Amani Lusekelo / Commentaire à l récension d'Amani Lusekelo 2009


Autoria(s): Higgins, Christina
Data(s)

29/03/2011

29/03/2011

Resumo

Mpendwa Amani, Nashukuru sana kwa maoni yako juu ya kitabu changu. Nakubaliana sana na wewe juu ya dhamira ya ubepari ndani ya muktadha wa mashindano ya urembo. Lakini sikutafiti mashindano yanayotokea bara -- utafiti huo ni wa Sabrina Billings (sitaki kuonekana kama nilifanya utafiti huo - nimesoma tasnifu yake ambayo ni nzuri sana). Billings amechapisha utafiti wake hivi karibuni katika Language in Society (2009).

Identificador

urn:nbn:de:0009-10-29556

http://www.afrikanistik-online.de/archiv/2011/2955

Idioma(s)

ger

Direitos

DPPL

Fonte

Afrikanistik online ; 2011 , 8

Palavras-Chave #490 #http://dewey.info/class/490/ #Swahili #Tanzania #sociolinguitics #bk: Kiswahili